Mtaalamu wa Ghana amepongeza Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE), yaliyoanzishwa mwaka wa 2018, kwa kutoa fursa nyingi mpya za kukuza biashara kati ya China na Afrika.Paul Frimpong, mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Sera na Ushauri cha Afrika na China, taasisi ya fikra yenye makao yake makuu nchini Ghana, alisema katika...
Soma zaidi